mjumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  2. Pre GE2025 Mjumbe NEC Mbeya, Mwaselela aahidi kuchangia zaidi ya TSh. milioni 30 za ukarabati wa ofisi 32 za Kata

    Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi 32 za chama hicho katika Wilaya ya Mbeya Vijijini leo, Februari 15, 2025. Katika hatua hiyo, M-NEC...
  3. Mjumbe UVCCM Geita, Sagayika awataka Vijana kuacha kubeba mabegi ya wagombea

    Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali. Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo Februari 17, 2025 na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa...
  4. T

    Pre GE2025 Tanga: Mjumbe wa kamati kuu UWT-Taifa achangia bati 40 kwa familia ya watoto yatima

    Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...
  5. Mjumbe wa Congress ataka Trump afanyiwe impeachment kwa matamshi yake kuhusu Gaza

    Tamko alilolitoa Donald Trump akiwa na Benjamin Netanyahu akisema ataichukua Gaza na kuijenga upya kwa kuwaondosha wapalestina imepelekea mshtuko mkubwa kwa viongozi wa mataifa mengi pamoja na wanasiasa wa Marekani. Wanasiasa waliokuwepo ukumbini wakati Trump akisema hayo kama hitimisho la...
  6. Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
  7. Pre GE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  8. TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa...
  9. M

    Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  10. DOKEZO Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa. Hayo yamezungumzwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi katika Muendelezo wa kampeni za...
  11. Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

    “Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  12. Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
  13. Pre GE2025 Babu tale atoa elf 50 Kwa kila mjumbe jimbon kwake

    Mbunge wa morogoro kusini masharik Babu tale atoa elf 50 Kwa kila mjumbe wa jimbo lake Zaid ya wajumbe 800. Huku alisema pesa hiyo sio rushwa bali imetoka mfukoni kwake mwenyewe Hii ingekua imefanywa na chadema tungekua tunaongea mengine mda huu
  14. Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  15. UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  16. Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
  17. B

    Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  18. S

    Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

    Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari. Pia soma...
  19. KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  20. M

    Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…