Watu watano wa familia moja ,baba, mama na watoto watatu wamefariki dunia kwa kula chakula chenye sumu iliyotokana na mdudu mwenye sumu jamii ya mjusi aliyedondokea kwenye chakula.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Kalemii nchini Kongo baada ya watu wa familia hiyo kula mchuzi unaosadikika...