Hello wa JF
Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar.
Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka (kifupi aliyenizidi umri).
Naamini wapo wanawake ambao wanahitaji mtu wa kuwasikiliza, kuwabembeleza...