Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na kuwataka kutokuwa waoga wa mabomu. Lissu ameyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa Kata ya...