mkanganyiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Simba barua yenu ya kugomea mechi ina mkanganyiko mkubwa,,mjitafakari kabla hayajawakuta

    Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa! Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;- 1) Nukuu''katika sintofahamu iyo Simba iriarifiwa na meneja wa uwanja kuwa hana maelekezo ya kamishna...
  2. Waufukweni

    Mkanganyiko wa matamko (Wizara na Polisi) kuhusu kung’olewa viti na fujo za Uwanja wa Mkapa

    Wakuu, Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji. Jeshi la Polisi lilibainisha kuwa mashabiki wa CS Sfaxien walihusika moja kwa moja kung’oa viti 256 na kuanzisha vurugu baada...
  3. britanicca

    CHADEMA haifai kabisa kuongoza nchi kwa sasa Tujipange haswa! Kuna Mkanganyiko

    Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA 1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema. 2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press. 3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu? Kwani...
  4. Q

    Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro. Umuamuzi huo umetolewa leo August...
  5. Mag3

    Bila tahadhari huu mkanganyiko kuhusu Muungano wetu unaweza kuwa kichocheo cha machafuko

    Kabla ya Muungano mwaka 1964, kulikuwa na nchi mbili zilizojulikana kama Jamhuri ya Tanganyika ikiongozwa na Rais Julius K Nyerere na Jamhuri ya Zanzibar ikiongozwa na Rais Abeid A. Karume, Chama kilichounda serikali ya Tanganyika kilikuwa ni Tanganyika African National Union Party, TANU. Hivyo...
  6. O

    Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

    Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba? Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona...
  7. TUKANA UONE

    Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

    Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini! Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf. Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la...
  8. Erythrocyte

    Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

    Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari. Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
  9. F

    Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  11. N

    Mkanganyiko wa tozo na kodi lawama kwa Mobetto, Samatta, Edo Kumwembe

    Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania. Hamisa Mobetto, Mbwana...
  12. Komeo Lachuma

    Napata Mkanganyiko hapa kuhusu hii simu. Sijalala toka jana

    Shemeji baada ya kuona namtengenezea mazingira mazuri ya ndoa yake na Sister akaona simu yangu imechoka sana..hapa naandika nikiwa nmei connect kwenye charge moja kwa moja. Mtu akinitingisha tu ikachomoka inazima. Basi shem ameonekana kutambua Juhudi zangu na kunipa offer ya kuninulia simu...
  13. Msafiri Haule

    Mkanganyiko juu ya dhima ya ziara ya Waziri wa Nishati

    Siku imepita lakini fikra hazikomi kunyukana baada ya kusoma gazeti la Mwanachi lenye kichwa cha habari “KUNI ZINAVYOKATISHA UHAI KWA KASI, JANUARY ASHTUKA”. Baadae, mikono nayo inanituma kutia wino yale yote kichwa hunena. Yamkini watanzania wengi wamesikia/kuona ziara za Mh.Makamba (Waziri...
  14. M

    Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  15. Idugunde

    Kuna haja ya kumuamimi Tundu Lissu? Kauli zake huwa zina mkanganyiko kila mara

    Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Tangazo la tuwapishe Wazee wapate Huduma za kijamii Kwanza liboreshwe ili lisilete mkanganyiko na migogoro Kwa watu

    TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO Anaandika Robert Heriel. Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
  17. Side Makini Entertainer

    Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  18. L

    #COVID19 Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo. Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa Morogoro. Nilichokisikia sikuamini. Watumishi wengi wa kada moja iliyopewa kipaumbele cha kupata hawataki...
  19. L

    Naomba ufafanunuzi wa mkanganyiko juu ya concept ya torque na horsepower

    Habari wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa nikapata changamoto ya kutofautisha kati ya torque na horsepower. Katika jitihada zangu za kusoma nimeelewa kwa sehemu kidogo lakini kuna jambo linanichanganya kuhusu concept hiyo ambayo imenipelekea kuja kuuliza swali humu. Taking a case study of an IC...
  20. Miss Zomboko

    Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
Back
Top Bottom