Wakuu salam,
Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale
Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway kwa vyama vyote vya upinzani kufuata..
Nawashangaa sana vijana wanaopasuana kwa matusi mitandaoni...