mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Simba anashinda na heshima inaenda kudumishwa kwa mkapa

    Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache zilizopata kuanza kwenye AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. na kwa ukubwa zaidi pira linatandikwa hapo kwa mkapa yaani...
  2. FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  3. Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

    Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
  4. Yafuatayo ni majibu Mujarab ( Sahihi ) ya Ali Mayai wa BMT kwa wanaohusisha Rangi za Mkapa Stadium na Ushoga ( LGBTQ )

    "Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia Kiumakini katika Rangi hizi utaona nyingi ziko hata katika Bendera yetu ya Tanzania ambao tumepewa...
  5. Arsene Wenger kuja kuwatizama SIMBA kwa Mkapa

    Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20. Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa FIFA atakuwa sehemu ya watu watakaolitazama pambano la mechi ya Simba SC na Al Ahly ya Misri katika...
  6. Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  7. Waziri Dkt. Ndumbaro: Ukarabati Uwanja wa Mkapa Wafikia 95%

    Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia leo. Akikagua ukarabati huo leo Oktoba 9, 2023, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas...
  8. ICT Innovations and Data Management Manager at Mkapa Foundation September, 2023

    Position: ICT Innovations and Data Management Manager Reports to: Director of Strategy and Performance Management Supervise: ICT system analyst, ICT system Administrator, Digital Solutions Partner Department: Strategy and Performance Management Duty Station: Head Office -Dar es Salaam Key...
  9. Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  10. A

    Nimeota robo robo fc atapigwa mkono na al ahly kwenye mechi ya ufunguzi, AFL, October, 5 kwa Mkapa

    Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
  11. Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  12. Tujihadhari tunapoendelea kujaza uwanja wa Mkapa kuzidi uwezo wake

    Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
  13. Lissu alimkemea Magufuli na Mkapa ambao ni wakatoliki wenzie, huo udini anaopakaziwa sasa unatoka wapi?

    Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini! Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na mtu awaye yote kwa sababu ya dini yake Inapotokea kiongozi yeyote anakuwa kinyume na sheria za nchi...
  14. Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

    Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24. Dk...
  15. Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
  16. Kama Uwanja wa Benjamin Mkapa una jumla ya Taa 248 kwanini zinazowaka ni 124 tu?

    Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo? Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
  17. Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  18. Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  19. Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  20. Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…