(Nimeikopi huko wanakoomba ushauri ili tujifunze kitu)
Nilimdharau sana mume wangu na kumdhalilisha mbele za watu kumbe alikuwa anateseka kwa ajili yetu!
Jana nimelia sana, nimelia kiasi kwamba mume wangu aliporudi nikampigia magoti na kumuomba msamaha. Nimelia tangu asubuhi saa nne mpaka saa...