Mbunge wa Geita Vijijini, Musukuma Kasheku akichangia bajeti kuu amesema Tanzania tuone aibu, haiwezekani bidhaa za Uganda zinapita bandari ya Tanzania, halafu sisi tunazifuata huko
"Leo hii sisi Watanzania tunafuata bidhaa Uganda na Kenya hamuoni aibu?, bandari inayotumika ni ya Dar es Salaam...
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?
2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam.
Habari zaidi, soma:
Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
akili
dp world
dubai
genge
imeshindwa
karne
majina
malipo
mambo
mkatabamkatababandariyadaressalaammkataba wa bandari
msimamo
muwekezaji
sahihi
ukweli
upande
wafanyakazi
wanaopinga
watanzania
wenye
wenye akili
world
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.