mkataba indiana resorces

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    Mtu yeyote anayeamini kuwa tumepigwa kwa kuilipa fidia kwa Kampuni ya Indiana hana akili timamu

    Kampuni ya Indiana ilipewa lesesi ya kutafuta madini na kuanzisha mgodi. Ikafanya hivyo kwa gharama zake tena gharama kubwa. Tanzania kama taifa tukatumia Resource nationalism bullying tukawafutia leseni bila kuwalipa fidia wala kurudisha gharama zao. Kwa maana nyingine tukapata mgodi bila...
  2. ChoiceVariable

    Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

    My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote. Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
  3. Analogia Malenga

    Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

    Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 113.6 umetolewa kwa Serikali ya Tanzania Barua hii...
Back
Top Bottom