Mkataba huo unavunjika ikisalia miezi 9 ya kumalizika kwake na sababu zikitajwa kuwa ni kutofautiana kwa masuala ya Ubunifu kati yao pamoja na kushuka kwa mauzo ya Bidhaa za 'Ivy Park' kutoka kwa #Beyoncé.
Jarida la Wall Street limeripoti kuwa mauzo ya #IvyPark yalishuka kwa zaidi ya 50% hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.