Rais wa Kenya William Ruto amesaini Mkataba wa Biashara Huria na Umoja wa Ulaya licha ya kwamba Mkataba huo ulikuwa unapingwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki Toka 2016.
========
Kenya has signed one of the most ambitious trade deals between the European Union and any African...