Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.
Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano...