mkate

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  2. Mkate wa mchele au wakumimina

    Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂 Turudi class Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga...
  3. MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

    MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie. Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
  4. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  5. CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  6. Anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake

    As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro, Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake. Na kama navyosemaga "anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake" Kuna Dini zimebadilishwa baadhi ya...
  7. Hakuna mkate ngumu mbele ya chai, Mwabukusi kimyaaaaaa!

    Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti. Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi...
  8. B

    UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  9. Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  10. Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

    Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu Mahitaji Ngano kilo moja Sukari robo (utaigawa mara mbili) Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja Maziwa ya maji nusu lita Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
  11. TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna watu wa mpira bali ni kikundi cha watu kinachotafuta mkate wa kila siku

    kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
  12. Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

    Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9 "Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba. Baba yetu uliye mbinguni Jina lako Litukuzwe Ufalme...
  13. Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

    Wanabodi Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!, Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa kama kweli...
  14. Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  15. Ni hatari kutumia Mkate, Nyama ya Kukaanga, Coca, Kababu au Tambi kabla ya Kulala?

    Wadau nimekutana na hiki kitu kwamba ni hatari kwa Binadamu yeyote kula vyakula kama Kababu, Suya, vinywaji vya Coca, Nyama ya Kukaanga kwa Mafuta na Mikate yenye Ngano kabla ya kwenda kulala. Je, lina ukweli kiasi gani hili?
  16. Dkt. Slaa, yanatokea sasa ulijitakia mwenyewe. Ulishiriki kuwa sehemu ya maumivu ya Wapinzani

    Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama. Wewe ulitoa hotuba...
  17. R

    Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

    Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba. Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
  18. SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  19. W

    Mkate wa Siha

    Kwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa...
  20. Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…