Wakuu heshima yenu
Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed
Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia namna ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya ambazo ni wazi atazihitaji sana siku za mbeleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.