Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu...
Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali?
Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili).
Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake kuwa yeye ndio mkubwa asali alambe yeye kwa uhuru wengine anawapangia.
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.