mke mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DeepPond

    Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

    Wakuu, Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9). Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa Mara (wengine Hadi bedRest hospitali). Katika kipind hiki, mwanaume unaweza ukapitisha miez 2 kavu...
  2. Genius Man

    Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

    Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote. Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja...
  3. Se Busca

    Mke mmoja hatoshi

    Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari. Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala Umri: 115 Wake: 11 Watoto: 56 Wajukuu: 132 Sababu ya kifo: Uzee. Mabura Mabondo Matinde Kazi...
  4. B

    Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  5. mlinzi mlalafofofo

    Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili. Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika...
  6. kwisha

    Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  7. JamiiCheck

    KWELI Rais Mwai Kibaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa ana mke mmoja tu

    Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kujua uhalisia wa Kipande cha video kinachomuonesha aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki akizungumza na vyombo vya habari kwamba ana mke mmoja tu kama ni cha kweli au kimetengenezwa.
  8. General Nguli

    Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

    Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Ndoa ya mke mmoja ni mpango wa shetani tusiache uzinzi?

    Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu tu kuwaza, labda ni mpango wa shetani kuchomekea hii itikadi. Alichomekea akijua huu mtego hawa...
  10. tpaul

    Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  11. Dr. Wansegamila

    Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

    Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu. Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi kuelewana nao kwa sasa Kaluhana ana wanawake 15 nchini Kenya na Uganda na anasisitiza kuwa hatachoka...
  12. Azizi Mussa

    Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  13. Nyaka-One

    Sheria ya Ndoa inasemaje pale Cheti cha Ndoa kinapokuwa hakijafafanua kama ndoa ni ya mke mmoja au zaidi?

    WanaJF hasa wajuzi wa sheria ya ndoa nina jambo naomba kupata ufafanuzi. Majuzi niliona cheti cha ndoa cha mme na mke waliofunga ndoa ya kikristo miaka kadhaa iliyopita. Kwenye cheti niliona kuna sehemu kimeandikwa ndoa imefungwa kwa madhehebu ya kikristo lakini ile sehemu ambapo cheti...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  15. Crocodiletooth

    Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  16. lwambof07

    Ndoa ya mitala: 'Sisi ndugu wanne tulioa mke mmoja'

    Familia ya Champasingh Lama, kutoka Humla eneo la Fang Tungar huko Tibet, imezingatia ndoa ya mitala kwa vizazi 17. Lakini, kulingana na mwanawe wa kiume na mjukuu, utamaduni huo sasa umepitwa na wakati, alisema Champasingh. Alisema, "Sisi ndugu wanne tumeoa mwanamke mmoja." Vijana wetu...
Back
Top Bottom