mke mwema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pasta Joshua

    Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

    Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...
  2. Kidagaa kimemwozea

    Mke mwema na sifa zake ni huyu hapa

    10 Mke mwema kweli, apatikana wapi? Huyo ana thamani kuliko johari! 11 Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima. 12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. 13 Hutafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii. 14 Yeye ni kama meli...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  4. Jack Daniel

    Mke bora na heshima kwa mwanaume

    Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa. 1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku ukikenua meno yote na kujipiga kifua kwakuwa upo na mtu unayempenda kwa dhati na unaweza kuambatana...
  5. steve_shemej

    Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  6. S

    Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  7. SweetyCandy

    Kaka yangu anatafuta mke mwema

    Kaka yangu anatafuta mke mwema . Sifa zake : awe ni mweupe , mrefu wastani , awe na umbo namba 8. Awe tayari kuamia mwanza . Mkristo mcha Mungu na awe na kazi. Weka namba zako inbox
  8. F

    Mke mwema anahitajika

    Sifa zangu Elimu: degree Kazi: nimejiajiri (phone accessories) Mahali Kanda ya ziwa Umri: 30 Dini: pentecoste SIFA ZA MKE Elimu: kuanzia form 4 Umri: chini ya 30 Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE...
  9. Gily Gru

    Maombi yenu tafadhali

    Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF, Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu. Pili, Leo hii tuko hospital magomeni...
  10. Akabi kemanya

    Mke mwema popote ulipo

    Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc. Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila. Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
  11. Nyenyere

    Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  12. KijanaHuru

    Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
  13. Akabi kemanya

    Mke mwema popote ulipo

    Naitaji mke wa kuishi naye umri wangu miaka 37 Sifa Awe mcha Mungu Mwenye chura japo kidogo Umri wake 30 mpak 34 Asinipende mimi sana ila aipende sana ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa ghalama yoyote Aliye tayari njoo nbox
  14. Mandela5599

    Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na bikra na jinsi alivyokua mzuri ni kitu ambacho sikutarajia Wakati huo tulikua Arusha, nilihamia...
  15. josewatano

    Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
Back
Top Bottom