Mimi ni mtu mzima miaka 30 nina mke wa miaka 25 nina watoto 2 katika ndoa ya miaka 6 mpaka sasa.
Ndugu zanguni nina hasira nina hasira nina hasira sana Mungu tu anisimamie nisingie dhambini.
Kwa kifupi siku za hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilianza kuona manadiliko kwa mama watoto ila...