mke na mume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    Soma kisa hiki na useme nani ameanzisha ugomvi kati ya mke na mume

    Soma hiki kisa kisha jenga hoja juu ya swali Mume na mke walitembelea shamba na wakaona fahali 🐂 akifanya mapenzi na ng’ombe. Kisha mke akamuuliza meneja wa shamba: "Fahali hufanya mapenzi mara ngapi kwa siku?" Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku." Mke akamtazama mume wake kisha...
  2. Hypersonic WMD

    Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

    Mbaya zaidi kashona had sale na Lokole
  3. Dogoli kinyamkela

    Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike

    Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike. Mke akamuuliza meneja wa shamba: "Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa kwa siku?" Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku." Mke: akamtazama mumewe na...
  4. EMMANUEL JASIRI

    Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

    Vigezo; 1. Miaka 30 Mpaka 41 2. Amezaliwa Mara ya Pili. 3. Amejazwa Roho Mtakatifu. 4. Amebatizwa Maji Mengi. 5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa. 5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji. 6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
  5. N

    Natafata mume, mwenye sifa hizi

    Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu. Atakaewahi atapewa kipaumbele Tukutane PM
  6. JanguKamaJangu

    Tanga: Baada ya mke kuuawa, mwili wa mume nao waokotwa

    Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki iliyopita na yeye amekutwa amekufa baada ya mwili wake kuokotwa katika eneo la Nguvumali B jijini...
  7. USSR

    Mume amuuwa mkewe na yeye kujinyonga chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia

    Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia. Imeelezwa kuwa marehemu Janeth Stephano(36) alikutwa kitandani...
  8. Waufukweni

    Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

    Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho. Taarifa iliyotolewa na...
  9. Chenkov

    Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

    Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka...
  10. M

    Huu utaratibu wa kitanda kimoja mke na mume umetokea wapi?

    Familia zilizo nyingi kwa sasa mke, mume hulala kwenye kitanda kimoja 6* 6 , au 5*6 na mkiwa na mtoto mdogo naye atalala hapo. Lakini kwa wazee wa zamani hili lipo tofauti kidogo, babu yangu chumba chake kulikuwa na vitanda viwili. Chumba Cha wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili. Kipi...
  11. Dr Matola PhD

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri...
  12. BARD AI

    Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

    KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne...
  13. Jabakeke

    Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto...
  14. Bushmamy

    Kilimanjaro: Kijana awakata mapanga na kuua mke na mume akiwatuhumu kwa uchawi

    Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe. Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
  15. lee Vladimir cleef

    Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  16. Pamoja tunaweza

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
Back
Top Bottom