KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne...