Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake.
Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini
Kaibiwa kura? Familia imemtosa?
Mimi na wewe hatujui
Soma Pia: Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.
Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
Habarini humu wandugu,,
Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani.
Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
Naomba kujibiwa swali linalonitatiza, Inaposomwa historia fupi ya Marehemu inataja ameacha Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha katika uhai wake Mashamba, Nyumba na Magari?
Pia katika Wosia aliondika katika uhai wake ameorodhesha Mali, Pesa na Madeni na mgawanyo wake bila kutaja Amewacha...
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa.
Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu.
Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.
Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary.
Wataalam...
Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika.
Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE.
Anaandika Robert Heriel.
Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au...
Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi...
Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja.
Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili, baadaye Baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.