mke wa jirani yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Jirani yangu ana mke mzuri nimetokea kumpenda sana

    Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote...
  2. Choosen85

    Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Wakuu mulibwanji? Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye. Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba...
  3. Yofav

    Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

    Habari wakuu, As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva. Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana...
  4. A

    Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

    Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home. Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani...
  5. K

    Najuta, nilitembea na mke wa jirani yangu nafsi inanisuta sana

    Wakati nahamia mtaani ninapoishi nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili nilimkuta jamaa jirani yangu nae anaishi na mkewe na mtoto wao mdogo wa mwaka miaka miwili hivi, wakati huo mke wangu alikua mama wa nyumbani na mke wa jamaa nae alikua mama wa nyumbani Kiuchumi jirani alikua...
Back
Top Bottom