Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...