Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,
Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi,
Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho...