Poleni na mfungo wakuu,
👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa
👉Na pia ni emotional oriented "
👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit
Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze
👉Aya tutiririke...
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake.
Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako ukichelewa kukijua na kukiondoa mapema umekwisha. Wanawake nawajua vyema, ni waelewa na wanakanyika lakini...
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi.
Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna...
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.
Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.
Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto...
Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao.
Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu...
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha....
Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke...
Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana.
Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu.
Ujanja au ushamba?
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.
Sababu ni hizi
𝗪𝗶𝘃𝘂
Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo,
dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI"
Tambua, amefanya maamuzi ya kusafiri na wewe kwenye safari ndefu ya maisha; hakuona mwingine huko pembeni ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.