mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

    Habari zenu ndugu zangu. Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka. Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo. Simjui ndugu au rafiki yake yoyote...
  2. Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  3. Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can https://jamii.app/JFUserGuide any woman around you” maana...
  4. Kuna ulazima/umuhimu wa kufuatilia mienendo ya mke unaeishi nae mbali!?

    Salaaam kwenu wadau Kama mada inavyojieleza Uko na mke mmefunga ndoa na mna watoto Kutokana na sababu za kikazi ,inafikia hatua mnaishia mikoa tofauti, mke mkoa Z mume mkoa B. Mke yuko na watoto na mume Yeye anaishi mwenyewe. Siku za nyuma mawasiliano yanakua mazuri ,ila baada ya miaka kupita...
  5. Kitu kizito kichwani: Kama mke wako ameajiriwa andika maumivu, tumeshamla

    Hi! Ngoja kwanza nianze kwa kucheka. Niko kwenye ofisi za umma yapata miaka 7 sasa. Dunia haiachi maajabu, anayelipwa mshahara yuko katika uhitaji wa pesa kuliko yule ambaye halipwi mshahara. Sasa hawa wanawake employed ambao wana MISHAHARA na huenda waume zao wana MISHAHARA au biashara kubwa...
  6. Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

    Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini? Usipompa kwanini?
  7. Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  8. Mke wako ni Abigael wa leo? Au je, umemuandaaje binti yako kuwa kama Abigael?

    JE MKE WAKO NI ABIGAEL WA LEO? AU JE UMEMUANDAAJE BINTI YAKO KUWA KAMA ABIGAEL? Anaandika Robert Heriel, Tena hakuna kitu kizuri na kinachopendeza kama mwanamke, mwanamke ni ua katika miiba, ni dhahabu katika matope; naye apataye mke mwema ameyapata maisha yake na kuyaokoa walakini akosaye...
  9. P

    Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

    Wakuu naomba tusaidiane. Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi? Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi? Je, ni sahii kujinyima raha ya kulidhishwa kimapenzi kwa kigezo cha kuitwa mwaminifu na mwenye msimamo? Karibuni
  10. Ni bora umuoe huyo msaidizi wa ndani kama mke wako kamuachia majukumu

    Ukiona kazi nyingi za nyumbani zinafanywa na beki tatu (mfanyakazi wa ndani) kama kukufulia nguo, kuzipiga pasi nguo zako, kufanya usafi wa nyumba, kukupikia chakula, kukupokea unapotoka katika miangaiko, kuwaandaa watoto, kuwafanyia usafi watoto, kuweka mazingira ya nyumba yapendeze n.k Muoe...
  11. Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  12. K

    Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

    Wanaume wenzangu nasisitiza iwe jua au mvua usiku au mchana iwe bara au visiwani usijaribu kukiri kosa la uchepukaji kwa mkeo hata siku moja. Eti anakuta tu sms kwenye simu yako unakiri kweli umechepuka mwanaume wa wapi wewe kukiri kwako kunamthibitishia na kunampa uhalali wa yeye kuchepuka ili...
  13. Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
  14. Filisika tujue tabia ya mkeo

    Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo...
  15. Kumpenda mke wako inamaanisha nini?

    1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao. 2. Msifie pale anavyofanya jitihada ya kuwa na muonekano mzuri. Pale...
  16. Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  17. Ni mambo gani muhimu ya kujiandaa baada ya mke wako kujifungua?

    Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo mtu mzima majukumu ndo haya. So nisaidie maswala muhimu kipindi kajifungua.
  18. Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  19. Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
  20. Mliooa bikra tunaomba ushahidi kuwa mke wako kweli ametulia siku zote hajawahi kuliwa? Je, una amani?

    Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa. Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani. ==== Mchnago wa Mdau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…