mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni. Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
  2. M

    Mke wangu amenipa Responsibility bila kunipa Authority. Hiki ni kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa

    Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu. Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu. Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
  3. Azoge Ze Blind Baga

    Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia...
  4. Tumbili wa mjini

    Simulizi ya kijasusi: Mke wangu rudisha moyo wangu

    Note : 18+ MKE WANGU, RUDISHA MOYO WANGU Awamu ya Kwanza: Siri ya Kivuli Nilisimama mbele ya dirisha la ghorofa ya tatu nikiangalia mitaa ya jiji kwa tahadhari. Taa za barabarani zilimwaga mwanga hafifu juu ya barabara yenye watu wachache. Moyoni, nilijua sikuwa salama—na wala si kwa sababu ya...
  5. 1academ

    Nilimuacha mke wangu kisa ndugu zangu najutaa jamanii

    Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu kinaenda sawa, lakini mimi niliamua kumwacha kwa ajili ya ndugu zangu. Leo nipo peke yangu, nimepoteza...
  6. R

    Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  7. baharia 1

    Nifanye nini?, mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu

    Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116] Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake...
  8. Uwesutanzania

    Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

    Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha. Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana. Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu. Si mweupe Ni mweusi titititiii!.... Huyo ni mke wangu. Hajichubui wala si mweupe wa kuzaliwa. Ana...
  9. Surya

    Hii ndio ahadi yangu mke wangu siku nikikupata.

    Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂 Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu, Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
  10. Kazanazo

    Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

    Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika...
  11. 1academ

    Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani... ushauriii

    Mzuka wana j.f Miaka 2 iliyopita nilianza mahusiano na dada ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, ilikuwa kama utani lakini nilijikuta nampenda. Mke wangu naye ni mfanyakazi, tunaenda kazini pamioja ila nilikua nampitia huyu dada. Baada ya kuanza naye mahusiano, alianza kumuonyesha mke wangu...
  12. Mapenzi ya Mungu

    Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari

    Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari Tatizo ni nini!?
  13. G

    Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

    Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana! Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu. Your Sincerely, Gwego.
  14. Mganguzi

    Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  15. M

    Sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

    Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu) Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika Mke saa 19:30 usiku--...
  16. G

    Umbo la mke wangu limebadilika baada ya kujifungua

    Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli. Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene! Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge. Inasikitisha kwakweli.
  17. Maleven

    Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

    Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu. Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
  18. Tajiri wa kusini

    Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane? Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano na X wake na kuniomba msamaha, lakini baada ya kama wiki mbili hivi niliwakuta sehemu tena wamekaa...
  19. Heci

    Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...
  20. tang'ana

    Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta. Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa...
Back
Top Bottom