FESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari...