Salaam wana jamvi,
Matumaini yangu ni kwamba tuwazima tukiendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo kujipatia cha kutia midomoni mwetu. Ukiachana na matukio mengi yaliyotokea wiki hii, cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kutupatia uhai; yote heri, uzima kwanza.
Leo nilitaka kuzungumzia wimbo wa...