Nimeona mabango na taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na pia nimepita maeneo ya Kawe Tanganyika Packers na viunga vyake naona watu wameanza kumiminika ikiwa ni maandalizi kuelekea mkubwa mkesha mkubwa uliopewa jina la " 'MKESHA USIO SAHAULIKA' CHAKO NI CHAKO"...