Wakuu,
Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga...
Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.
Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda...
Nimeona mabango na taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na pia nimepita maeneo ya Kawe Tanganyika Packers na viunga vyake naona watu wameanza kumiminika ikiwa ni maandalizi kuelekea mkubwa mkesha mkubwa uliopewa jina la " 'MKESHA USIO SAHAULIKA' CHAKO NI CHAKO"...
Yakiwa yamesalia masaa kadhaa kufika kwenye mkesha mkubwa wa CHAKO LAZIMA KIWE CHAKKO.
Kila ninapouliza sehemu ya kulala naambiwa imejaa nijaribu sehemu nyingine.
Sijajua huo mkesha utakuwa na watu wengi kiasi gani ila wageni ni wengi sana hapa Dar es Salaam.
#Ngoja tuone hiyo kesho.
Nipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.