Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli.
Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
Wakuu,
Tunaweza kuwa tunalaumu sana mashitaka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA bila kuwa na uelewa kwamba anajihusisha na mambo hayo au hajihusishi.
Kufuatia press meeting aliyoifanya IGP Sirro akiwataka wanachadema kutokuonekana Mahakamani kupinga tuhuma zinazomkabili mwenyekiti na...