Ndiyo! Namaanisha mkoa mpya wa Butiama.
Hivi hakuna Wazalendo wa kuomba kuanzishwa huu mkoa kama kielelezo cha kumuenzi Baba wa Taifa hili?
Twajua hakuwa Mbinafsi, na hakutaka kujipendelea licha ya kuwa na uwezo huo! Leo tunaona uzalendo sehemu fulani kuwa mkoa kutokana na mihemko sijui ni ya...