Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi.
Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni.
Pale eneo la...
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!?
Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia?
=======
Mbio za Mwenge wa Uhuru leo July 26th, 2024 zimeingia katika...
Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani.
Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge.
2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo
swali, je atatumia jimbo gani?
arusha
asubuhi
christian
dar
dar es salaam
jimbo
kishindo
kugombea
kugombea ubunge
makonda
mapema
mkoamkoawaarusha
mwanza
paul makonda
sana
ubunge
ukuu wamkoa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ameagiza kuhamishwa kwa Wakuu wa Idara mbalimbali za Mkoa wa Arusha ambao wamehudumu kwenye Mkoa huo kwa zaidi ya miaka mitano.
Waliohamisha kwa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa ni pamoja na James Labikoki ambaye ni Afisa usafirishaji na taka ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.