Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya...
Poleni sana ndugu zangu wachagga najua inauma na itawaumiza sana Chato kuwa mkoa kabla ya Moshi kuwa jiji lakini tambueni kwamba vigezo vya sehemu kuwa mkoa sio sawa na vile kuifanya sehemu kuwa jiji na ndio maana majiji yapo matano ila mikoa ipo 26.
Niende kwenye mada baada ya salamu za...
Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo.
Leo aliyokuwa anayafanya...
Wenyewe wanasemaje?
Habari za leo Friends of Bukoba.
Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato.
Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na:
(1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum)
(2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini)
(3) Mh...
Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
Anaandika Askofu Bagoza PhD.
TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA
Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema.
Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Ummy Mwalimu, Waziri wa TAMISEMI, akiwa anatafakari juu ya muundo wa serilkali ya Tanzania Bara kuanzia Ikulu hadi Vitongojini.
Usuli
Mwongozo wa kuunda mikoa wa 2014 unataja vigezo hivi: idadi ya watu isiyopungua 3% ya watu wote nchini, changamoto za kijiografia zisizoweza kutatuliwa nje ya...
MKOA WA CHATO NA SIASA ZA KANDA YA ZIWA NYUMA YA PAZIA
Nimesoma maandiko kadhaa kuhusiana na kuundwa kwa Mkoa wa Chato. Huwezi kuelewa vizuri kinachoendelea sasa bila kujua siasa za Kanda ya Ziwa zilizopo nyuma ya pazia.
Labda niwaeleze kidogo mambo ambayo yako nyuma ya Pazia na huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.