Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC).
Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
Wakuu,
Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho.
Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari...
Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri!
Inawezekana mkoa...
Wakati baadhi ya Halmashauri zikitenda haki kwa watumishi na kufuata miongozo ya TAMISEMI katika zoezi, tumebaini kuna baadhi ya Halmashauri kazi ya upigaji na kujitajirisha watu wachache kwa kutumia stahiki za 'wanyonge' inafanyika kama vile ni mashindano. Yaani wasimamizi wa uchaguzi wilaya...
Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa Rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu.
Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha...
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu.
Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka.
Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida.
Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.