Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA
Dar es Salaam 10, Februari 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia.
Kufuatia mlipuko huu...
1. UTANGULIZI
Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera lisemalo "Mkoa uliong'aa (the shiny BK) leo umekuwa mkoa giza (the dark Bukoba) kwenye kila sekta ya...
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Uchumi
Wakazi na Makazi
Historia
Makabila
Fursa za Uchumi
Hali ya hewa
Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
Bukoba manispaa
Karagwe
Ngara
Biharamlo
Muleba
Kyerwa
Misenyi
Bukoba vijijini
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho.
Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Kagera hususan ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja...
Kata ya Ruzinga wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera kuna mradi wa maji haujawahi kamilika toka mwaka 2012 hadi watu washachoka kulalamika maana ukijaribu kufuatilia taarifa zinasema mradi ushakamilika ila kiuhalisia maji yanayotoka hayatoshi.
Mara nyingi huwa yanatoka tu pale kama kuna kiongozi...
Anonymous
Thread
mkoawakagera
mradi wa maji
mradi wa maji kata ya ruzinga
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
BUKOBA MANISPAA
KAGERA ,TANZANIA
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini.
Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.