Wakuu,
Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti.
Wanawake wanasema kuwa wanaume wamekuwa na tabia ya kuamka saa 6 mchana wakati wao wakihenyeka kwenye vibarua.
Wanaume wa Katavi...
===
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina.
Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
Wakala wa Barabara za Vijiji na Mjini (TARURA) Mkoa wa Katavi timizeni wajibu wa kujenga daraja katika Mto Nsemlwa, Manispaa ya Mpanda kivuko kilichojengwa na mtu binafsi kisiwasahaulishe jukumu lenu.
Kivuko kilichojengwa katika barabara inayounganisha Kata ya Nsemlwa, Mtaa wa Migazini na Kata...
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu 245,764). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Katavi ambalo lina watu 118,818.
Matokeo ya Sensa ya Watu...
UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE
Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
HABARI PICHA:
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi.
Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
azindua
jengo
jeshi
jeshi la polisi
katavi
kisasa
mkoamkoawakatavi
ofisi
polisi
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
Ndugu zangu Watanzania,
Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kupata taarifa ya ugeni mzito na wa kihistoria ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.