Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu.
Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje.
Mfano
Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/=
Wali...
Habari,
Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
Bado niko mbeya
Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.
Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.
Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?
Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi...