Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje.
Barabara hiyo ni kiungo...
Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA.
Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi wa Chama na Viti Maalumu (Ubunge na Udiwani).
Hata hivyo Mh. Freeman Mbowe na Timu yake wanapinga...
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya katibu tawala wa mkoa wa Songwe aliyotoa siku ya jana, ya kwamba '....watawakagua wino watumishi ambao...
TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO
Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana.
Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako Vwawa.
Mkoa wa Songwe una majimbo sita (6); Momba, Tunduma, Songwe, Vwawa, Mbozi na Ileje, ambapo Jimbo...
Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
Habali ya jumapili wanabodi,
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa na kuanza kumpa huduma wapate pesa.
Kuna mwanamke alikuwa mjamzito alipoenda pale kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.