Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).
Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.
Kunywa mkojo robo...
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ .
Wakamuandikia dawa akinywa anakua...
Habari Ndugu,
Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:
1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?
Kutegemea Umri...
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
"TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA"
Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha.
Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi?
Mkojo una tofauti gani na jasho?
Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi?
Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
Kikubwa hapa nataka kujua hasa Kitaalamu je, kuna ama Dawa yoyote ile ya Hospitalini au ya Kiutamaduni (Mitishamba) au Mafunzo yoyote yale Mtu anaweza Kutumia au Kuyatumia ili ayatumie na yaweze Kumsaidia asiwe anashikwa na Mkojo mara kwa mara hasa awapo Safarini au akiwa Mkutanoni na kila mara...
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo.
Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa...
Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana.
Nimetafakari...
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke...
Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha.
Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo lilitokea tena jirani na kwetu. Binti mmoja alikunywa sumu, na kabla ya kukimbizwa hospitalini...
Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho yake utarudi hali ya mwanzo.
Sijui pengine itakua ni UTI ambayo nimekua nikitibia sasa na mke wangu...
Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili
Alifunga kupata mkojo
Alifunga kupata choo kubwa
Tatizo hili husababishwa na Nini ??
Tumepoteza kijana mdogo Sana
Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.
Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina...
Magonjwa mbalimbali yametufanya binadamu kubuni tiba aina mbalimbali ambazo zitatusaidia kuondokana na magonjwa hayo. Moja ya tiba iliyobuniwa na binadamu ni pamoja na mkoja wa binadamu kama tiba ya magonjwa mbalimbali.
Tena unaambiwa ukipata mkojo wa asubuhi ndio kiboko ya magonjwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.