mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mkojo kuchangnyikana na manii shida itakuwa nini

    Miaka kama mitatu sasa nimekuwa nakojoa mara kwa mara , nikichukua mkojo wa asubuhi nikiuweka kwenye chombo kisafi kinachoonekana humo ni mkojo na uteute , nimekwenda hospital kupima magonjwa haya 1. Hiv/Aids 2. UTI na 3. Nimecheki tezi kuwa either limetanuka au Kuna cancer majibu yote...
  2. Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Habari wakuu . Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso. Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy). Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi. Kunywa mkojo robo...
  3. M

    Msaada, Majibu ya vipimo vya mkojo PROTEIN +,KETONES + ni ishara ya kitu gani mwilini

    Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ . Wakamuandikia dawa akinywa anakua...
  4. Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
  5. Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  6. G

    Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
  7. Arusha: Akutwa ndani na lita 70 za mkojo na kinyesi ndoo 6.

    https://www.instagram.com/reel/DCoi3G8C6Yl/?igsh=bWN5bnlwejNxYmsy
  8. Kijiji cha Oltepes Longido kina maji, hakuna anayetumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha akiwa hedhini

    "TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA" Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
  9. Ukosefu wa maji: Watumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha. Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
  10. Kwanini mkojo ulifanywa najisi na dini za zamani za Mashariki ya kati?

    Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
  11. Je, kuna Dawa au Mafunzo ya kumsaidia mtu kutoshikwa haja ndogo mara kwa mara hasa awapo Safarini au Mkutanoni?

    Kikubwa hapa nataka kujua hasa Kitaalamu je, kuna ama Dawa yoyote ile ya Hospitalini au ya Kiutamaduni (Mitishamba) au Mafunzo yoyote yale Mtu anaweza Kutumia au Kuyatumia ili ayatumie na yaweze Kumsaidia asiwe anashikwa na Mkojo mara kwa mara hasa awapo Safarini au akiwa Mkutanoni na kila mara...
  12. Je, mkojo huambatana na bomu? Ufafanuzi wa kisayansi

    Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo. Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa... Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana. Nimetafakari...
  13. Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

    Wakuu Habarini/asalaam/Shalom Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+ Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke...
  14. Wafahamu kuwa mkojo wa wanyama una mbolea kuliko kinyesi chake?

    Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
  15. Ukaidi wa wenzake ulimnusuru kunyweshwa mkojo wa binadamu!

    Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha. Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo lilitokea tena jirani na kwetu. Binti mmoja alikunywa sumu, na kabla ya kukimbizwa hospitalini...
  16. M

    Mkojo wangu hausafishiki, bado una rangi ya orange

    Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho yake utarudi hali ya mwanzo. Sijui pengine itakua ni UTI ambayo nimekua nikitibia sasa na mke wangu...
  17. P

    Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

    Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
  18. Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
  19. K

    Ninatatizo kwenye mkojo

    Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia. Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina...
  20. NADHARIA Mkojo ni dawa ya magonjwa mbalimbali

    Magonjwa mbalimbali yametufanya binadamu kubuni tiba aina mbalimbali ambazo zitatusaidia kuondokana na magonjwa hayo. Moja ya tiba iliyobuniwa na binadamu ni pamoja na mkoja wa binadamu kama tiba ya magonjwa mbalimbali. Tena unaambiwa ukipata mkojo wa asubuhi ndio kiboko ya magonjwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…