Salaam Wa JF Wote
Nmekutana Na Mtu Mmoja Akiwa Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa UTI, Malaria, Kukosa Hamu Ya Chakula,Kwenye Maongezi Yetu Baada Ya Kumjulia Hali
Akaniambia Ana Miaka 10 Hajawahi Kuugua Magonjwa Kama Malaria, UTI, Minyoo, Vidonda Vya Tumbo Na Magonjwa Mengi Mengine
Akaniambia Mwaka...