mkongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdu_22

    Nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakini naishi kama mkimbizi kula yangu kama mpira wa danadana

    Habari, nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakn naishi kama mkimbizi kula yangu km mpira wa danadana Kuna muda uanguke Kuna muda uturie mguuni, Imefika hatua wazazi nilienda likizo mara Moja nimewaambia natak nirudi. Wakaniambia hawanikataz ila nakuwa nimerudi hatua Moja nyuma kimaisha umri...
  2. Ojuolegbha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
  3. Pdidy

    TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  4. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    SITASAHAU: Nilipaka mkongo na manzi hakutokea

    Katika kujaribu huko na mle duniani sikutaka kabisa kuhadithiwa tu. Basi siku moja nikiwa kijiweni tunapiga story za mademu mara paap jamaa kaingiza kuhusu mkongo. Jamaa aliunadi sana akisema hauna madhara maana ni dawa ya asili. Kwa sababu nilikuwa na miadi na demu mpya nikaona hapa ndo...
  6. Mr Q

    Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

    Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba? Anyway wajuvi najua mtakuja...
  7. jingalao

    Matatizo ya Mkongo wa Taifa ni funzo kubwa la kiusalama!

    Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo. Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  8. Jaji Mfawidhi

    Serikali izifunge na kuzihamisha Shule za Sekondari Mkongo na Utete za Rufiji kwenda Dar

    Kufuatia Mafuriko ya Rufiji , kutokana na uzembe wa serikali na kukurupuka baada ya Envirment impact Assessment kuonyesha lile bwawa likijengwa litakuwa na uharibifu wa eco system na jamii sasa mafuroko makubwa yaja. Majumba yamefunikwa, mashamba yamefunikwa na sasa huenda shule hizo...
  9. Rayvanny wa jamiiForums

    Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo

    Yani Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo.
  10. GENTAMYCINE

    Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  11. Mjukuu wa kigogo

    Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda

    Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Emmanuel Mkongo Heshima yako mkuu! Nitajitahidi kuandika andiko fupi sana!Nakumbuka kwenye vikao vyako vingi huwa unawaencorage sana wana Bunda kupambana zaidi badala ya kukata tamaa! Awali hawakuweza kukuelewa ila Kwa sasa wamekuelewa vizuri...
  12. Analogia Malenga

    Kidunda Mtu mbaya kuzichapa na mkongo

    Leo ndio ile siku Suleiman Kidunda anazichapa na mkongo. Kwasasa tunacheki burudani ya mapambano ya utangulizi taarifa zaidi kukujia hivi punde
  13. M

    Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  14. Pang Fung Mi

    Wanaotumia mwiko wa mkongo na puturu wanatanua sufuria na sisi wengine tusiotumia hatutoshei tena kuivisha ugali kwenye hizo sufuria

    Naomba ujumbe huu ufike tuokoe vijana na mabinti, ndoa, na mahsiono hali ni mbaya sana.na sio fair kabisa. Upishi wa penzi na tendo ni Jambo asilia na ni vema libaki kuwa asilia. Matumizi ya mkongo, puturu na viagra huleta mifarakano na sintofahamu. Maisha ya sasa si ajabu kumkuta binti mdogo...
  15. K

    Nabii Mkongo aliyetabiri vifo Kenya!

    Huyu nabii ni mkongo mkimbizi yuko huko Iowa katabiri miezi minane imepita
  16. FRANCIS DA DON

    Mkongo wa taifa wa mawasiliano , kwa uwekezaji tuliofanya ilibidi GB1 ya data tuuziwe 100/=

    Tanzania imepitiwa na mkongo wa kimataifa wa mawasiliano uliopita chini ya bahari, na kwa ufuatiliaji mdogo nilioufanya juu ya gharama halisi za uendeshaji na utunzaji wa mradi husika (running & Maintanance) , GB 1 ya data ingepaswa tuuziwe kwa shs.100/= , na hapa bado wangepata faida kubwa...
  17. N

    Sharobaro wa Kihaya & Mkongo kurudi kivingine ndani ya Futuhi

    Niliteg
  18. GENTAMYCINE

    Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
Back
Top Bottom