Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja...
Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo.
Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tanzania imepitiwa na mkongo wa kimataifa wa mawasiliano uliopita chini ya bahari, na kwa ufuatiliaji mdogo nilioufanya juu ya gharama halisi za uendeshaji na utunzaji wa mradi husika (running & Maintanance) , GB 1 ya data ingepaswa tuuziwe kwa shs.100/= , na hapa bado wangepata faida kubwa...
Preamble:
Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber.
Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege.
Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ?
Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari.
But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi ningeomba watufafanulie some essues:-
1. Kwanini maeneo mengi upanikanaji wa internet bado ni shida...
Natamani kusikia kuwa Serikali inaweka utaratibu ambao mtu binafsi anaweza kuunganishiwa Internet NYUMBANI KWAKE kutoka mkongo wa taifa na kulipia kila mwezi.
Na maanisha kuwe na package tofauti tofauti za kila mwezi kulingana na matumizi (speed) watu wachague.
Gharama za kuunganishiwa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022.
“Lengo letu ni kuwawezesha watoa huduma za mawasiliano kutumia miundombinu hii...
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.