Ana umri wa miaka 41.
Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America.
Ni raisi machachari kwelikweli.
Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba...