Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
Wakuu!!
Huwa sielewi tulichukua mkopo {company} ilitudhamini mkopo wa muda wa miaka6.
kuna baadhi ya wafanyakazi waliacha kazi baada ya pesa zao kuzitumia divyo sivyo na kwa maelezo yao
walidai kuwa hela ya NSSF walichukua bila shida yoyote.
Njia waliyokuwa wanatumia ni kwenda kufungua account...
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
Nahitaji ushauri. Mimi ni entreprenuer ninayeanza. Nategemea kujishughulisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo na pia uchakataji wa mafuta ya kupikia katika hatua ya " refining". Nimesha install machine kwa ajili ya uwekezaji. Kiufupi nimewekeza Tsh 100,000,000 kama physical capital hasa...
Mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Mkwabi Nyanda akishirikiana na Mkewe wanadaiwa kugushi nyaraka za hati ya nyumba ya Jirani yao eneo la Kinondoni Jijini Dar es salaam na kutumia hati feki kukopea benki Jijini Arusha Tsh. milioni 150 mwaka 2016 na kisha milioni 200 mwaka 2017 na kupelekea...
Please naomba soma uzi huu uku unamuangalia mwanao kama una mtoto.
Polen na majukumu uzi wangu huu unalenga kujaribu kuona kama Tunaweza jikomboa hata kwa fikra basi
Dhumuni la mm kutaka wewe usome huu zi uku unamuangalia mwanao ni kwamba wewe kama Baba jukumu lako ni kuish uku unaanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.