Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.
Je, naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya Nursing? Na naweza endelea kupata mkopo huo?
Naombeni msaada mimi sijui chochote
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
Salaam wana-JF
Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi.
Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya nchi. Nimedhania labda ni Stipend na Travel allowances? of which nikilinganisha na pesa niliyopewa...
Unafkiri kwa nini wanafunzi wanaolipiwa mikopo na Serikali kwenye vyuo vya Serikali wanazuiliwa kufanya mitihani ada ikichelewa, wakati ada inalipwa na Serikali?
Kwamba hawaamini kama watalipwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.