mkopo elimu ya juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jacobus

    Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  2. I

    Unapokuwa umepata mkopo 100% inakuwa na maana gani?

    Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani? Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
  3. dongbei

    Naomba kuelimishwa juu ya Mkopo wa elimu ya Juu

    Salaam wana-JF Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi. Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya nchi. Nimedhania labda ni Stipend na Travel allowances? of which nikilinganisha na pesa niliyopewa...
  4. ChoiceVariable

    Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
  5. Cute Wife

    Mngetumia nguvu za kuwapangia wanafunzi jinsi ya kutumia boom lao kuhakikisha wanaostahili wanapata mkopo 100% (au kusoma bure) tungewaona wa maana

    Salaam Wakuu, Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
  6. Emanuel T

    Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

    Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom